SERIKALI KUWEKEZA MIRADI YA KIMKAKATI KWENYE MAKAZI YA WAZEE NCHINI

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Wakili Amon Mpanju, akizungumza wakati wa ziara ya Manaibu Makatibu Wakuu kutoka Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara kwenye Makazi ya Wazee FungaFunga yaliyopo mkoani Morogoro. Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI